Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Hujajinyonga tu? mi nishanunua ndizi kabisa ya kulia ubwabwa wako, masikio nimeyaweka wazi kusubiri taarifa ya kifo hapa pumbaf sana wewe
mimi nimenunua pilipili mbuzi ya huo ubwabwa
 
kajinyonge sasa hivi tena umechelewa,uzinzi wako ndo unatueleza hapa,wakati una mtaka huyo mtoto wa watu hukujua una msichana mwingine?na wakati unafanya hilo tendo hukujua matokeo yake?na mwisho wakati ukiwa naye hukujua anauwezo mdogo wa kuchambua mambo na uachane naye? hebu kajinyonge haraka huko!mtu mwenyewe karne hii unaenda peku!!
 
Lea mimba acha usharobaro bwana mdogo shida mnakimbilia mapenzi yasiyo salama halafu mnaanza kusumbua ushauri....Umegundua uwezo wa kufikiri baada ya kumpa mimba?
 
Hajinyongi huyo wewe huwa hawasemi wanaojinyonga

labda ni yule anaita ambulance
akioa imesimama nje ya nyumba yake
ndo anajitundika wakati wale watu wa
First aid wanaingia ndani.....
 
hiyo mimba changa ndiyo inamuhitaji zaidi!!

Nadhani kwa sasa hana kazi ngumu..

kama anataka kujinyonga sasa duhhh

sijui atafanyaje mtoto akizaliwa maana kutunza
ndo balaa...
 


grow up..........na uache ujinga!!!!
 
<br />
<br />
hata ww uwezo wako wakufikiria ni mdogo. Unawezaje ku do bila kutumia dawa ya penzi.
 

Bwana weye jina lako na visa vyako sawasawa, umejua uwezo wake wakofikiri mdogo lakini uwezo wake wakubinjuka kitandani ulikua mkubwa sio? na wewe kama smart ungetumia condom au kama kusoma hujui hata matangazo huyaoni? au unajua condom ni kwa ajili ya H.I.V peke yake?
usijitoe fahamu ukataka kukimbia majukumu yako alipo kuvuliachupi ulikua unausikilizia utamu wake na ulijua matoke yake ninini,kaa chini ujue utamtunza vipi huyo binti na ndio utatia akili,nilidhani utajiua una H.I.V kumbe umetia binti mimba Utajijuuuuuuuuuu....
 
jinyonge tule futari na daku kwenu. Tena kwa sisi wenye uwezo duni, ndo kwanza tutahamia msibani. Raha iiyoje...
 
Ungewaita wote wawili kisha uwaambie unajinyonga na sababu za kujinyonga, hao ndio watakupa jibu sahihi unalolitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…