Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Chama changu kinasimamisha mtu mmoja tu, uraisi sitaki kwa usalama wangu.Harambee ijayo changia milioni ili akutabirie kushinda urais.
Ngoja nami nichangie ujenzi nipate upako maana Mashamba Makubwa Nalima ila mazao napata kidogo sana.Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni.
Uzi tayari
We toa hela Nabii atakupa muujiza wako. Huyo mtu mmoja ataenguliwa ubaki wewe.Chama changu kinasimamisha mtu mmoja tu, uraisi sitaki kwa usalama wangu.
We utaendelea tu kulima hayo Mashamba Makubwa .Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni.
Uzi tayari