Baada ya kujihoji na kuangalia matukio na baada ya kupoteza baadhi ya marafiki kwa muda mfupi ambao Vifo vyao Ni kupoteza fahamu ghafla, presha juu, upumuaji wa shida na sukari kujitokeza na kwamba magojwa hayo hawakuwa nayo hapo swali ndipo nilipoamua kuachana na ubishi... Nimepata Kinga ya COVID-19.
Ndani ya masaa 72 nikiambiwa nisinywe pombe na Aina yoyote ya ulabu. Kikubwa nilichokiona na kushirikisha hapa ni kwamba nilipata uchovu Kama dalili za homa japo nilikuwa najisikia kula vizuri na kutumia Panadol ndani ya muda huo kwa Sasa niko fresh