Ndio...Mabula ni ndugu zangu wasukumaKwani ni msukuma,??
huoni huo mdomo ni wa ugali mgumu nawewe!Kwelii kabisaa nilikua nimesahau
Huyu boya sura sio ngeni ngoja nitafute ujinga mwingine aliyo fanya
Bamdogo Magu msukuma mwenzao kawageukaHivi wasukuma wana matatizo gani?
Huyu jamaa kanifurahisha sana. Hela ngumu.Hahahahahahah