Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Danganya toto hiyo ili kuzuga tuu pesa wanazo wanaNunua mabasi makumi kwa makumi na wanahonga vitu kwa maelfu leo waje wajifanye wanaomba kwa wananchiNi aibu kwa chama kinachoongoza serikali kuwa ombaomba
Kazi kweli kweliKinachochekesha ni ccm kuiga tone tone ya chadema waliyoibeza. Chadema siku zote iko mbele ya mda na mda ni mwalimu mzuri.
Duuh....ya kweli hayaWameshachota mabilion hazina hyo sku ikifka ni kutakatisha tu..!
Bil 100 kwa sisiem ni hela anayochanga Tajiri Mmoja tuDanganya toto hiyo ili kuzuga tuu pesa wanazo wanaNunua mabasi makumi kwa makumi na wanahonga vitu kwa maelfu leo waje wajifanye wanaomba kwa wananchi
Ngoja tuone maana wao ndio wenye nchiKuna watu wana mpango wao wa kutakatisha mipesa mingi mingi mkuu hii ni janja janja tu.
We hujiulizi hivi ni hawa waligawa piki piki nchi nzima.? Na baiskeli?
Anachanga au anawekeza ?Bil 100 kwa sisiem ni hela anayochanga Tajiri Mmoja tu
MchangoAnachanga au anawekeza ?
Wanazuga tu,walivyogawa mabaiskeli kwa mabalozi Tanzania nzima wana uwezo wa kugawa mabaiskeli hata kwa kila mwananchi.Danganya toto hiyo ili kuzuga tuu pesa wanazo wanaNunua mabasi makumi kwa makumi na wanahonga vitu kwa maelfu leo waje wajifanye wanaomba kwa wananchi
Majina kamaTajiri akitaka kuendelea kukutawala kwa hila ni lazima ajifanye na yeye ni maskini mwenzako kumbe anakunyonya.
Yaani mtu ana HAZINA ya nchi, ana kila anachotaka leo hii anataka watu maskini achukue tena walichonacho... hii ni mbayaaa!!