4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Ccm kumbuka wameanza kampen mapema , leo ukijumlisha matumizi ya ccm mpaka sasa ni mara 4 ya pesa zinazosemwa ni za uchaguzi kati ya ccm ,chauma na ActHahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Ccm ni Chama kikubwa, pia kimewekeza na kina miradi mingi. May be matumizi yameongezeka.
Lakini kuja na Tone Tone wametuchekesha kweli
Usicheke ndugu yangu, hawa mafisadi yawezekana wanatakayisha fedha walizotuibia. Haiwezekani isambazwe baiskeli na pikipiki nchi nzima alafu siku sifuri uanze kupitisha bakuli la michango.Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
tatizo lako ni upofu wa kutokuona chochote bora cha ccmHahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Ccm ni chama kikubwa chenye heshima yake. Hili la tone tone Mkuu ukweli usemwe.tatizo lako ni upofu wa kutokuona chochote bora cha ccm
hapana wanaipeleka ccm kwa wanachamaCcm ni chama kikubwa chenye heshima yake. Hili la tone tone Mkuu ukweli usemwe.
Sawa wewe kunguni wa nyumbuHuna lolote chawa wa jimama
CCM wanawaiga Yanga kwa kutembeza bakuliHahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Huo ndio ukweli wenyeweWameshachota mabilion hazina hyo sku ikifka ni kutakatisha tu..!
Chawa wa jimama.Sawa wewe kunguni wa nyumbu
Wewe ni mjinga na msahaulifu sana!Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Umelalamika sana. Pole mkuuWamefanya jambo la maana sana.
Chadema kwa sasa wanatumia huu muda vibaya.
Chadema hawana watu wa mikakati kama walivyokua akina Kitilya Mkumbo,Kafulila, Halima Mdee n.k.
Lazima Chadema kikubali kukosolewa na kujitathmini na kupokea maoni .
Sitaki kuibomoa Chadema wakati wa uchaguzi lakini chadema kuna tatizo katika uongozi pamoja na kukubalika sana kwa viongozi wake wa Juu.
Wanatakiwa wale waandamizi sasa wajikite kwanye ubunifu ,sera na uelekeo wa Chama kuelekea 2030.
Kwa sasa ni kama Chadema inatumia muda mwingi kuitangaza CCM na Chauma na ACT.
Lakini pia Lisu na Heche wakubali kupokea ushauri wa Pamoja badala ya kusema tu wanasimamia maamuzi ya wakati wa uongozi uliopita .
Tulitegemea kuelekea uchaguzi katika mazingira yaliyopo chama kitoke na msimamo na mwelekeo mpya wa kichama na wa kukiimarisha zaidi chama kimikakati.
Mfano Kwa sasa Tonetone ni kama limesimama kutokana na harakati za chama kusimama.
Sasa tujiulize chama kinampango gani wa kudumu wa kupata fedha zaidi ya tonetone .
Na hata ukiangalia Tonetone ni mkakati ambao hauwezi kuendesha chama maana hauwezi kupata fedha za kibajeti zaidi ya matukio.
Kuna siku Hecha alinishangaza sana japo niliwaza kuwa yule jamaa ni mzalendo sana na ana uchungu mkubwa sana kwa taifa hili . Ila pia anatakiwa awe ni mtu mwenye subira sana na anayejipa muda wa kutafakari .Hali kadhalika Lisu . Wawe wanatoa nafasi ya kutafakari kidogo na sio kila neno wanalijibu au kulifanya wakiwa na Hasira .
Kuna watu walikua wanabishana kwenye geti la mahakama Kisutu akiwemo Heche. Miongoni mwao akatikea kijana mmoja akawa anataka kusema jambo . Heche alijibu kwa ukali sana ,NYAMAZA WEWE bila hata kumsikiliza .
Nilimuona Bony Yai akiwa anawatuliza kwa busara tu wale watu waliokua wanabishana.
Kuna mazingira ya ukali lakini kuna mazingira ya upole ,kuna mazingira ya hekima na kuna mazingira ya vurugu,kuna mazingira ya kuongea na kuna mazingira ya kukaa kimya.
Kuna mazingira ya kukusanyika na kuna mazingira ya kutawanyika .Kuna mazingira ya furaha na kuna mazingira ya huzuni. Kuna mazingira ya kucheka na kuna mazingira ya kulia.
Uzalendo na ushujaa ni kuishi kwa ujasiri ,akili ,maarifa na kuwaangusha Waovu toka katika enzi zao za dhulama .
NINI CHA KUFANYA WAKATI HUU KWA AJILI YA KUJENGA CHAMA NA KULETA IMANI.
Moja ,Chama kirejeshe mamlaka kwa wananchi wa ngazi zote mpaka kwenye ngazi ya msingi.
Chama kipange uongozi wake kimikakati katika ngazi ya majimbo Mikoa ,wilaya ,kata ,vijiji na vitongoji .
Chama kifanye kazi kama chombo chenye madaraka kwa wanachama wake .
Hakuna taaisisi isiyojua idadi kamili ya Wanachama wake na uwajibikaji wa kila mwanachama katika kukijega chama.
Wazo la Lema nadhani alillisoma kwenye baadhi yamaandiko yangu lakni hakuweza kulipresent kwenye kama nilivyokua nimejenga hoja yangu matokeo yake alikuja na tonetone ambayo kimsingi ni jambo la muda mfupi lisilo na plan zaidi ya kuonekana kama kichekesho fulani hivi.
Nilisema Chadema kama kina wanachama hai mil. 5 tu kina uwezo wa kukusanya zaidi ya bil. 10 kwa mwaka endapo kila mwanachama atatoa Th.2000 tu kwa mwaka .
Jambo lilolokua linatakiwa ni namna ya kuzipata hizo fedha basi ndani ya chama . Nikasema kama Kuna kiongizi wa Juu wa Chadema anifuate inbox ajitambukishe kwa wazi ili nimpe mkakati wa kuzipata hizo fedha ndani ya muda usiozidi miezi mtatu.
Ambapo kihalisia Chama kitakua na uwezo wa kukusanya bil 25 kwa mwaka toka kwa wanachama wake tu .
Zama hizi za kuunda magroupu ya michango kwa whassp chama kinashindwa kukusanya michango kwa wanachama wake kweli . A sleeping Giant.
Bila chama kuwa na fedha sasa baada ya uchaguzi chama kitasambaratika kimaono na migogoro itakua mingi sana kwa sababu kitaendeshwa kwa pesa za mtu mmoja mmoja kutoka mfukoni kwake jambo ambalo ni hatari sana maana anayetoa pesa zake kwenda kwenye kikao cha chama na kutumia gari lake binafsi anajiona ana haki ya kumiliki nafasi ya uongozi ndani ya chama . Akitokea mtu anayemkosoa anajawa na hasira na uchungu mkubwa kwa sbabu anakumbuka hasara anazizipata katika kujenga chama kwa pesa za familia yake . Matikeo yake ataibua mgogoro na kumuona kila mtu ni msaliti na chama kitakosa uelekeo kwenye uongozi japo wanachama wapo stable .
Kaeni upya mtafakari mipango mipya kwa sasa wakati huu wa siasa siasa .
Baada ya uchaguzi huu wa Berlin(Wazanzibari) uliolenga kugawa na kumalizia kabisa rasilimali za Tanganyika kwa Waarabu na Wazanzibar na mafisadi ndani ya CCM kama mwakala wao hali ya kisiasa itakua ngumu sana . Yaani hata ukinyamaza utaweza ukakamatwa na kuulizwa ,"kwa nini umenyamaza sana, Unawaza nini ,unaonekana kuna mpango mbaya dhudi ya serikali ya huyo anayetaka kwenda ikulu kujiapisha mwezi wa kumi na moja kinyume na taratibu zote za nchi na hata kimataifa ,mbinguni na duniani ?
Yote kwa yote tumuombe sana Mungu ili aingilie kati watu wake wa Tanganyika ambao wanazakiana sana ,wana mifugo mingi sana ,wanama kwa mikono maporini na wengine wanishi maporini kwenye ardhi yao ya asili wasije wajafanywa watumwa na wakimbizi wasio na ardhi tena .Samia amejitwalia kila kitu katika madaraka na umiliki kwa sababu ya kuwa na uwezo wa kutumia maghala ya silaha dhidi ya wale wanaompinga bila huruma .
Na ruzuku yao wamefanyia nini?Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Zuga hiyo
Wenzao waliambiwa watanunua EBOLA na MPOX Wao watanunua UJINGA?? na UCHAWAHahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.
Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.
Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.
Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.
Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Nchi hii nini kinashindikana mkuu!?Duuh....ya kweli haya
Nchimbi na CCM yake wanataka kuhalalisha matumizi ya fedha chafu kutoka kwa mafisadi na zile walizokwapua hazina ya Taifa!Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?