Nimechekajeeeee

Nimechekajeeeee

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Jamaa flani watatu walienda kupanga chumba hotelini. Wakapewa chumba ghorofa ya 90. Siku moja wakati wanarudi hotelin kulala, wakakuta umeme umekatika, wakashindwa kutumia lifti wakaamua kupanda ngazi.

Lakini kwakua ni mbali sana mpaka ghorofa ya 90, wakakubaliana mmoja apige stori za kutisha mpaka ghorofa ya 30 na mwingine stori za vichekesho mpaka ghorofa ya 60, na wa tatu stori za kuhuzunisha mpaka ghorofa ya 90.

Wa kwanza akapiga stori za kutisha mpaka ghorofa ya 30, wa pili za vichekesho mpaka ghorofa ya 60, ilipofika zamu ya wa tatu akasema "stori ya kusikitisha ni kwamba tumesahau funguo reception."
 
Hahaahahaha hahahhhhaaaaa hhaahahahaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom