Nimechezea kichambo, baada ya kugonganisha magari

Nimechezea kichambo, baada ya kugonganisha magari

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Fuso imegongana na bajaji.

Mama mmoja agonganishwa na bint yake wa kazi.

Mama awaka na awa mkali.

Mzee wa kasumba awa mpole.

Afikiria kuwatema wote.

Aibu yatawala wajihi wake.

MWISHO WA UZI
 
Haya peleka gereji hivyo vyombo vyako vya usafiri, ulivyogonganisha
 
Back
Top Bottom