Nimechoka Basi!!...

Dah! Pole ndugu, maumivu ya mapenzi ni makali sana... Unataka akufanyie kitu gani ndio uelewe kama hana mpango na wewe?? Mapenzi hayalazimishwi kaka.. Ukiendelea na huyp dada ujue utakuwa unalia kila siku. ACHANA NAE..
Ahsante sana nimekubali mapenz haya lazimishwi..
 

dah ur very right..
 
Last edited by a moderator:
Kupenda sana nako ni tabu hasa inapotekea anaependwa kutokuthamini upendo wa mwenzie inauma sana. Yaelekea wewe ulikua unamuandaa kuwa wife lkn yeye alikua anajishughulisha na watu wengine tofauti na wewe. Jipe moyo jitahidi kumsahau na huenda MUNGU akakujalia ukampata mzuri na mwema kwako.
 
Mwanaume unaumia kiasi hicho usikute ukiwa mwenyewe huwa unaliaga wewe.Kamata kikuku kichinje wewe uone utakavyonenepa wamejaa namna hii unaumiza kichwa dahh wanaume tunatofautiana sana aisee

Omba yasikukute mkuu, haya mambo hayana formula wala mjanja.
Mkuu Ringopet, I'm sorry if itakuuma, but kiukweli, You are in a wrong direction, hapo unalazimisha but hakuna mapenzi., jaribu now kujiambia mwenyewe kuwa Yatosha na umaanishe unachosema, and move on. Just don't do anything ambacho kitakukumbusha huyo mtu, keep yourself busy and jichanganye na masela kwa story, hope it'll help.
Let her go, otherwise utakuwa ni mtu wa kuumia kila siku.
Am just speaking from an Experience.
All the best.
 
Last edited by a moderator:
Ndo mapenz mwanaume akiwa serious mdada walaa,mdada akiwa serious mwanaume anazngua..inatokea unakuta m2 unapendwa na una2mia chance iyo vbaya mi naamin una mapenz ya dhat mshirkishe Mungu wk akupe atakae deserve love yk na stick to tht dnt settle 4 less!.amin utapata sm1 mpaka utashangaa y it neva worked wit any1 b4..
 
mkuu kwani huyo demu ulitafutiwa? if not, kuna ugumu gani kumpiga chini?
 


You've done your part mkuu, now it's time to let it go, I bet one day akili zake zikimkaa sawa atakutafuta.
 
Chapa lapa mzazi, i guess your a male. wanawake wako wengi mno wazuri na wastaarabu kuliko huyo ulie nae sasa, vaa moyo wa kiaskari tafuta mtoto mwingine mkali. machizi tunacheat hata kama tunapendwa habari gani kama tungekua tunasumbuliwa si ndo tungecheat maradufu.
 

Unataka mapenzi ya aina nyengine zaidi ya haya uliyoyazoea? Nahofu hutopata raha iwapo utakutaka na mwanamke asiekupa vitisho. Kuishi nae huyo uliyenaye na tabia hiyo kwa miaka sita lazima ushakuwa mzoefu. Baki naye tu uendelee kuona raha!
 
Kakufanya ATM Piga chini Huyo, wanawake nowdaz ndo wanatoa Mahela,
 
Sioni cha kukushauri zaidi ya kukuambia SEPA fasta. Hakuna mapenzi hapo kuna ukimwi na makondokando yake (kaswende, kisonono, pangusa, nk).

Bazazi ni Bazazi!
 
acha ujinga ww.,ucufate moyo unavyotaka.,achana nae hapo huna m2..unakuwaje na m2 mahusiano miaka 6..amesha kuona zobalee a.k.a Z
 
LOVE HURTS unless you are married..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…