Nimechoka kuchungulia habari, nimeona nijiunge JF

Nimechoka kuchungulia habari, nimeona nijiunge JF

Habar zenu wakuu wa ndani,nilikuwa soma nyuz mbalimbali hum ndani kwa muda mrefu sn lkn ss nimeona bora niingie mazima ,hodi hodi hodi
Karibu sana mkuu wa kazi
 
Aysee unajifunga mwenyewe bado unachoka mwenyew
 
Karibu ila usikute jela inakuita maana hapa jf ni wengi tuu. ni kama tumejificha kesi za uchochezi huko uraiani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Sijui utakuwa upande gani kati ya nyumbu wa ufipa au viwavi vya lumumba
 
Habari zenu wakuu wa ndani,

Nilikuwa soma nyuzi mbalimbali humu ndani kwa muda mrefu sana lakini sasa nimeona bora niingie mazima, hodi hodi hodi!
karibu mkuu...adam au hawa??
 
Karibu sana Mkuu ila apa sio FB maana unaweza jipata unapakimbia bila kutarajia...
 
Back
Top Bottom