Kati ya Dar(nina nyumba), Iringa nina kiwanja, Mwanza (nina kiwanja), na Tanga...
Wapi pametulia na kwenye fursa za Biashara?
Hiyo mikoa Iringa na Tanga ukituliza akili unaweza kuleta utawala wa kibiashara ...Dar ushindani mkubwa .Dar na Mwanza hakujatulia, lakini ndipo kuna fursa ya biashara zaidi...
Iringa na Tanga kumetulia, lakini kumepooza kibiashara...
Kwa kipengele hiki, ushauri wangu | Uza kiwanja cha iringa, na (Sogea mkoa wa Mororgoro) Nunua kiwanja na fanya ufugaji na biashara hapo Moro. Hakika hutojutia.Ufugaji na biashara
Mkuu, Iringa ni kuzuri kuishi kwa maana ya hali ya hewa pia gharama za maisha zipo chini na hakuna mambo mengi kama jiji la Dar. Kuhusu biashara Dar ipo vizuri zaidi. Ila kila sehemu kuna aina za biashara zinazoweza kufanyika.Sorry naomba kufahamu kwanini Iringa unahisi Kuna utulivu?
Kila mkoa thaman ya kiwaja zinatofautiana naweza uza Iringa Alf moro nikakosa kiwanja kitakacho kidhi. cjui unanielewaKwa kipengele hiki, ushauri wangu | Uza kiwanja cha iringa, na (Sogea mkoa wa Mororgoro) Nunua kiwanja na fanya ufugaji na biashara hapo Moro. Hakika hutojutia.
Upo vizr mzeeKwa biashara ni Dar au Mwanza.
Kwa maisha ya starehe tu basi Tanga
maisha yapo juu na mzunguko wa ela mdogokwann Jane?