Nimechoka kuishi peke yangu

isumbi

New Member
Joined
May 4, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Naombeni ushauri... Nimechoka kuishi peke yangu natamani nipate mwanaume tuanzishe familia .... lakini kila anaenifwata moyo wangu unamkataa maana bado nampenda my x ambae aliniacha wakati bado namhitaji.
 
Tupo wengi wanaume wenye shida kama yako, ila nimeku PM naomba unijibu kama utaridhika
 
karibu 😛opcorn: ukimaliza njoo tupate :coffee:
 
Alikuacha kwa sababu gani huwezi kumpenda mtu kama una matatizo wewe mwenyewe jiangalie kwanza halafu ndio ujue mapungufu yako ili utakapotoa tangazo hapa JF utueleze na mapungufu yako ili atakayekupenda ajipange kukabiliana na mapungufu yako
 
this is a funny situation, just wait they will come
 
Sijaelewa lolote hapa. Unahitaji mwenza?? Umeachwa?? Au bado unampenda xbf wako?? Wch is wch??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ni PM ili tutafutane hutojutia na utamsahu kabisa unae ita unampenda.
 
Sijaelewa lolote hapa. Unahitaji mwenza?? Umeachwa?? Au bado unampenda xbf wako?? Wch is wch??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kweli haeleweki kabisa. Hajaeleza hata umri wake, yuko wapi n.k
 
Pona kwanza hicho kibuti halafu anza mchakato mpya. Maana naona bado moyo uko wa x wako
 
Sijaelewa lolote hapa. Unahitaji mwenza?? Umeachwa?? Au bado unampenda xbf wako?? Wch is wch??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahahaa umesahau zile za staki huku anakuja au anachora chini kwa Dole gumba la Mguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…