Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua.
Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%.
Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini?
Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo asilimia 50?
Au ni asilimia 50 ya eneo la Dar es Salaam litafikiwa na mvua?
Au kuna maana tofauti?