Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 3, 2024 #1 Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo asilimia 50? Au ni asilimia 50 ya eneo la Dar es Salaam litafikiwa na mvua? Au kuna maana tofauti?
Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo asilimia 50? Au ni asilimia 50 ya eneo la Dar es Salaam litafikiwa na mvua? Au kuna maana tofauti?
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,047 Reaction score 2,246 Oct 3, 2024 #2 Precipitation ni mvua,hiyo asilimia ni ubashiri of which inaweza kuwa katika digit yoyote