Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Unajuaje me kijana?😂😂Usisuse sasa. Mambo ya kususa wakati bado kijana sio vizuri halafu me sipendi hivyo.
Katika maisha jiwekee kanunia ambazo ni rafiki na hazita kuumiza wala yeyote. Binafsi nina sytem yangu moja hivi hadi watu huwa wanasema mi nina roho ngumu.Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.
Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza na topic nyingine Alafu Wewe Km bwege unajibu hapo hapo na uko fasta wakati wao wakijisikia Alafu unapewa sababu oh nipo bize au nn wakati muda wote mkwanja.
Nimechoka kila mtu ale ana zake; nimechoka urafiki wa aina Iyo ya kutumiwa Au hata kutafuta Mapenzi ya aina iyo bora niwe peke yangu na mawazo yangu tu.
pole sana twende pm ntajibu kwa wakati hakikaNimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.
Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza na topic nyingine Alafu Wewe Km bwege unajibu hapo hapo na uko fasta wakati wao wakijisikia Alafu unapewa sababu oh nipo bize au nn wakati muda wote mkwanja.
Nimechoka kila mtu ale ana zake; nimechoka urafiki wa aina Iyo ya kutumiwa Au hata kutafuta Mapenzi ya aina iyo bora niwe peke yangu na mawazo yangu tu.
Huo urafiki ni humu jf au?Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.
Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza na topic nyingine Alafu Wewe Km bwege unajibu hapo hapo na uko fasta wakati wao wakijisikia Alafu unapewa sababu oh nipo bize au nn wakati muda wote mkwanja.
Nimechoka kila mtu ale ana zake; nimechoka urafiki wa aina Iyo ya kutumiwa Au hata kutafuta Mapenzi ya aina iyo bora niwe peke yangu na mawazo yangu tu.
Usiishi kwa kumtegemea binadamu mwenzkoNimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.