Kesho kunani
Member
- Sep 10, 2023
- 72
- 191
Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu.
Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko.
Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko lazima niwe na kihela Cha kutosha Cha lodge. Hiii nayo inanikata stimu. Leo nimejiuliza kwanini nilipie lodge wakati Nina kwangu, leo nimeamua niende na mchepuko home.Liwalo na liwe,,maana haiwezekani nilipie lodge wakati Nina kitanda kizuri home.
Najua wife anaweza kukiwasha lakini sijali,maaana yeye wenyewe hataki kunipa mbususu na hata akinipa inakuwa kimagumashi, anakupa huku limdomo kalikunja isivyokawaida,hatoa ushirikiano wowote ulee... Hivi katika halii hii Mimi nifanyaje wakuuu?
Au mnanishauri vipi wakuu? Niende na mchepuko au?