Nimechoka kulipia lodge, leo naupeleka mchepuko home ili wife akome kuninyima mbususu

Yaani hapo hakuna mateso atafute sehemu mbali kidogo na anapoishi mfano kama anaishi goba akapange tegeta au kunduchi huko
Hiyo hela anayopoteza lodge yawezekana ikamudu kulipa kodi kabisa. Na lodge gharama za msosi pia ni kubwa zaidi
 
ungeoa officially tu
 
Hiyo hela anayopoteza lodge yawezekana ikamudu kulipa kodi kabisa. Na lodge gharama za msosi pia ni kubwa zaidi
Kabisa kama Kwa mwezi anagonga tuseme mara sita hiyo Kwa lodge ya elf 40 ni 320,000/
Wakati akipanga anaingia na kutoka anavyojisikia anaweza kuongeza kafridge kadogo Cha kuwekea Laga kupooza Koo baada ya show
 
Nenda nao ila tarajiwa kufungua Bucha hapo home muda wowote tangu utakapoufikisha mchepuo.πŸ˜‚
 
Kabisa kama Kwa mwezi anagonga tuseme mara sita hiyo Kwa lodge ya elf 40 ni 320,000/
Wakati akipanga anaingia na kutoka anavyojisikia anaweza kuongeza kafridge kadogo Cha kuwekea Laga kupooza Koo baada ya show
ashindwe yeye kuutendea haki ushauri wako
 
Kabisa kama Kwa mwezi anagonga tuseme mara sita hiyo Kwa lodge ya elf 40 ni 320,000/
Wakati akipanga anaingia na kutoka anavyojisikia anaweza kuongeza kafridge kadogo Cha kuwekea Laga kupooza Koo baada ya show
Na kigesi kidogo Cha kuchemsha nyama na tundizi! Ikae kigheto kabisa asiweke vitu vya kisasa mmoja wa mchepuko asije geuka nyumba ndogo!
 
Nakuhakikishia kwa maandalizi hayo kuna demu atahamia humo mda si mrefu atageuka mwenye chumba πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…