Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

endeleeni kumponda na kumpa ushauri...!

@rubylove...ndo mimi huyooo PM kwako huku naimba kale kawimbo ketu, "mapenzi hayana mwenyewe...unaweza penda kijana au mzee....niite jina gani mpenzi...kuna muda namwomba Mungu angetuleta pamoja..."
 

juzi ulisema una miaka 22 leo 26...haya waoaji kazi kwenu mie nina mke.

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13007471
 
Muulizeni kama bado ni bikira, kuna kaka angu anatafuta mchumba lakini bikra
 
kila lakher bt uwe makini usiende speed sana take time kufanya maamuz maana ukikurupuka utajutia maamuz yako pia usisahau kumwomba Allah akupe subra na wepesi
 
mkuu naomba nikushauri kuwa "kuolewa hakukimbiliwi" kwa pupa kama unavyotaka kufanya
tulia jipange na umuombe Mola atakuletea mwenza, kwani wahenga walinena kuwa
mtaka vya pupa.....?
 
Kwa jinsi demand ya kuolewa ndani ya muda wanaotaka wao, bila kuangalia hali za wenzi wao kwa wanawake walio wengi nchini inavyoongezeka kwa kasi sana, tusije kushangaa tukaanza skia wanawake ndio wanaoa wanaume. BTW, vijana ambao bado hamjaoa jitumeni. Maisha si lele Mama kama mnavyofikiri.
 
Kwa jinsi demand ya kuolewa ndani ya muda wanaotaka wao, bila kuangalia hali za wenzi wao kwa wanawake walio wengi nchini inavyoongezeka kwa kasi sana, tusije kushangaa tukaanza skia wanawake ndio wanaoa wanaume. BTW, vijana ambao bado hamjaoa jitumeni. Maisha si lele Mama kama mnavyofikiri
 
Mbn we n muongo muongo sana, kwenye thread unasema una miaka 26, mbn huku una miaka 23, me siwezi oa mwanamke muongo km ww!
Nahisi hata huyo mtu ako hatak kukuoa na uongo wako huenda ikawa n moja ya sababu.
 

Attachments

  • 1451391326553.jpg
    19.6 KB · Views: 144
Kwanini dada yangu unapenda kuolewa na mkristo?
 

nina iman mpaka mda huu pm yako inazaidi ya msg 50. Hapo wale wanaocheza kaunta attack tayar wameshaingia. Usipo kuwa makin watakuvua humu hutaisahau jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…