Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

olewaga na mtu mwingine tu kama amejitokeza maana hivi viumbe vya jinsia ya kusimama sometimes hawanaga muamana hata kidogo. kila la kheri mwaya
 
Mbn we n muongo muongo sana, kwenye thread unasema una miaka 26, mbn huku una miaka 23, me siwezi oa mwanamke muongo km ww!
Nahisi hata huyo mtu ako hatak kukuoa na uongo wako huenda ikawa n moja ya sababu.
 
Maneno kuntu.
 

nina miaka 50 ni mfanyakazi serikalini na kazi bado naiweza km vile niko 27.
 

Waswahili wanasema, "Haraka haraka haina baraka" na "Mvumilivu hula mbivu." Nakutakia kila heri katika kutafuta mchumba. I hope utapata unayemhitaji.
 
Unaonekana ni mtu usiye na msimamo
 
Miaka 27 umechoka kusubiri hadi unatafta MTU wa kukuoa mtandaoni????Mume anatoka kwa Bwana sugua goti Dada na endelea na mishe zako za kila siku hasa kutimiza ndoto zako za kimaisha na think positive usipapatikie ndoa utajuta.......samahani lakini ni mtizamo wangu kosea yote lakini usikosee ndoa eti kisa umri umekwenda ......life is short OK????
 
Mtani umemisika sana.. heri ya mwaka mpya
 
Wanaume tunawalaga sana wadada kama hawa,unamdanganya tu nitakuoa ukila huyoooooooooπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜€
 
Pole sana... utapata tu... labda wote ni watoto bado ndiyo maana..
 


Tuweke utani pembeni,niko desperate kwa mambo kama hayo,nami nahitaji mwenza mwenye mahitaji kama wewe. JF inaweza kuwa njia yetu sisi kukutana,in case of lolote tuwasiliane inbox. Consider it serious umri wangu 36
 

Njoo pm fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…