Tutafutane kupia namba 0762036146 tusaidiane mwenyewe natafuta mchumba kama ww!!!!mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.
.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
Hahaha una utani wa ngumi ujueHawezi asilani.cc Siti mtemvu.
Mtani ulipotea kama makontena ya bandari......vipi kwema lakini....??Mtani umemisika sana.. heri ya mwaka mpya
Hahahaaaaa.. nipo mtani si unajua mambo ya kusahau password. Hujaja sensa mtani??Mtani ulipotea kama makontena ya bandari......vipi kwema lakini....??
Nimetoka huko juzi tu mtani....nitaachaje kuhudhuria mtani.....!!!Hahahaaaaa.. nipo mtani si unajua mambo ya kusahau password. Hujaja sensa mtani??
Okay.. tuzisake za x mass ijayo kama tutajaaliwa uzimaNimetoka huko juzi tu mtani....nitaachaje kuhudhuria mtani.....!!!
Na mnavyojua kudaka fursa nyie mmmhWanaume tunawalaga sana wadada kama hawa,unamdanganya tu nitakuoa ukila huyooooooooo😉😉😉😀
Hitaji la kutaka kuolewa....linakufanya upoteze uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo......kufunga ndoa ni jambo la kwanza na kuhimiri mikikimikiki ya ndoa ni jambo la pili.........
Maamuzi ya ndoa ni moja kati ya maamuzi yanayohitaji umakini wa hali ya ju kwani ni maamuzi yanayopelekea kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako.........
Ndoa ni mahali penye furaha.....ni muunganiko unaoleta faraja ndani ya mioyo ya wapendanao.....unatakiwa uishi na mtu anayeishi ndani yako......kwa sababu hakuna shule au chuo kinachofundisha namna ya kupenda........
KUPANGA NI KUCHAGUA.......
Ukiingia kichwakichwa humu unapambana mpaka na mashetani.juzi ulisema una miaka 22 leo 26...haya waoaji kazi kwenu mie nina mke.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13007471
Tusemeje sasa manake kwenye ile post nyingine 22 hii 26.Hahaha una utani wa ngumi ujue
Hapo ndo penye utata. Atakuja mwenyewe kutoa ufafanuzi wa miaka yakeTusemeje sasa manake kwenye ile post nyingine 22 hii 26.
ungekua mkristo kwa hizo sifa zako ningehisi ni mimi uliyenizungumzia, kila la heri
Salama tu dada......naomba niwe wa kwanza kukutakia heri ya mwaka mpya....Heri ya sikukuu kaka
Haswaa hayo ndiyo maneno mtani wangu.......uwe na wakati mwema mtani wanguOkay.. tuzisake za x mass ijayo kama tutajaaliwa uzima
Hahahaa hapa sina kaka kwakweli...endeleeni kumponda na kumpa ushauri...!
@rubylove...ndo mimi huyooo PM kwako huku naimba kale kawimbo ketu, "mapenzi hayana mwenyewe...unaweza penda kijana au mzee....niite jina gani mpenzi...kuna muda namwomba Mungu angetuleta pamoja..."