Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

Dahh!!! Najitahidi kutembelea huku kila mara but sipati wa rika langu wote wanataka mwisho 45 me nina hamsini na usheeee, hivi hakuna anayehitaji wa miaka hamsini
 
Kuna hatari kubwa kwamba utapata wa kukuoa ambaye naye amechoka kumsubiri aliyeahidiana naye! Hatari ya jambo hili ni kwamba wote mtaishia kuiepa ndoa yenu na kuchepukia kwa hao mliokuwa mmeahidiana nao.

Kuwa makini
 
"Subiri subira yako mamyto ipo mikononi mwake mafungu saba,
Anayetoa ni mola pekee yeye,
Kwa kila goti na dua anajibu yeye,
Usijeitaka harusi ukarudi na talaka,
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo"

#In Cassim Mganga's voice#
 
we binti siku hizi kama huna kipato basi huolewi ng'oo.....tafuta pesa kwanza acha kuwa kitonga
 
yaani wanawake hamfai kabisa, we miezi miwili tu hiyo unaanza kulalamika umechoka? Si tulikubaliana tuweke mambo sawa kwanza?
Basi nenda bwana hata mi haina umuhimu sana kuwa nawewe.
 
endeleeni kumponda na kumpa ushauri...!

@rubylove...ndo mimi huyooo PM kwako huku naimba kale kawimbo ketu, "mapenzi hayana mwenyewe...unaweza penda kijana au mzee....niite jina gani mpenzi...kuna muda namwomba Mungu angetuleta pamoja..."
mangi umepata bahati
 
Wewe dada msanii sana mara una miaka 22 mara 26 .. Umeandika uzi humu umessma una miaka 22 ..

Matatizo ya story za kutunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…