Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

Pole dada ya wanadamu si habaa! Heri tuu ungemlilia Mungu asingeacha kukufariji.
 

Wanawake wengi wanatafuta wanaume kwa kuangalia mtazamo wa nje na si mtazamo wa ndani., unavyotaka ndoa kwa haraka usije ukaangukia huko kwenye mtazamo wa nje kwa kuangalia sura nzuri, anavyovaa, anavyocheka.

vuta subira tafuta kwa utaratibu na uzingatie saaana mtazamo wa ndani namaanisha tabia zake,. anavyojali., anavyokupenda, anavyokutimizia., kukuheshimu, kukuthamini na nk. Kila la kheri
 
Mm Nina miaka 23 no 0782505565
 
Wanawake maringo yenu yote kiboko yenu ni mume tu. Ikifikiaga hapo ndio huwa mnajitiaga malaika kinoma. Its barely that furaha yako katika ndoa haitakuwa ya kudumu trust me.

Utafurahia harusi kwa miaka ya mwanzo ila utakuja realise hujaolewa na mtu sahihi uliyemridhia. Migogoro ikianza haiishagi maana tatizo itakuwa ni wewe kutokumpenda na kumuheshimu mumeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…