Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.Hilo nafahamu ila Yanga imekuwa sio ile ya Gamondi, sio ile ya Miloud. Ya Miloud ilikuwa ni strong kwenye ulinzi na kushambulia. Ila hii ni kama aliyekatwa kichwa inajiendea hovyo hovyo tu. Anawezekana ikawa ni msimu mbaya sana kwa Yanga na msababishani ni Hersi.
1kumuacha Miloud kizembe na kuiingiza Yanga katika laana kwa kuchangia CCM.
Sana, na majibu yalipatatikana siku ile ile Hersi anatoa michango ya wanachama na mashabiki wa Yanga kuichangia CCM. Mashabiki wengi walionesha kutoendelea ku support timu kwa kutoingia uwanjani, kununua jezi, n.k. Ukijumlisha na mwenendo wa nchi yetu na hakuna klabu iliyoonesha kusimamia na wananchi kutoa hata pole ndio kabisa. Kubomoa ni jambo rahisi sana kuliko kujenga ni jambo la dakika tu.Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.
Dooh! Dua ka hizi huwa zinaishiaga juu ya paa tu Mtani. 🤣🤣Kila baya liwakute wanayanga🤲
Hii huwa ni kawaida kwa hizi timu zetu kubwa Mtani kuna baadhi ya mambo huwa yanafanyika halafu baadae inabakia tu kumbe hivi kumbe vile.Mlipoteza muda kulaumu kocha mkidhani yeye ndiye tatizo, kumbe tatizo kubwa zaidi ni timu yenu.
Na isiwe hivyo jamani. LolKwenye makundi kuna match tutakula mkono
Kwa mbinde wakati tumempiga mtu bao 4?mnataka nini tena jamaniAcha kabisa Wananchi tumepatwa this time.
Yaani kupata kwetu matokeo ni kwa mbinde hasaa. Kama jana nilishajikatia tamaa. Lol
Lol.Kwa mbinde wakati tumempiga mtu bao 4?mnataka nini tena jamani
Mistari miwili ya mwisho ndo kila kitu.Timu bado mbovu mno yaani fitness nayo hakuna, nimeangalia mechi mpaka nikaogopa jinsi tutakavyokula za kutosha klabu bingwa. Inawezekana iina laana ya kuchangia CCM ndio inaitafuna hii timu tutalaumu kila kocha msimu huu.