Nimechoka kura block za mastaa wa kibongo, naacha kucomment

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mpaka sasa nimeshakula block za watu maarufu wafuatao:

Malisa Godilisten

Huyu ni Kamanda wa CHADEMA ameniblock Facebook toka msiba wa komba. Kipindi hicho cha msiba nilipishana naye pale alipokuwa akilazimisha watu wasiongee mabaya ya marehemu (John Komba) katika akaunti yake. Kwangu mimi niliona ni unafiki kuongea mazuri tu ya marehemu na kuacha mabaya. Baada ya hoja mujarabu aliishia kuniblock Facebook mpaka Leo hii.

Mange Kimambi

Kipindi cha uchaguzi mwaka 2015 nilichangia kwenye ukurasa wa Mange Kimambi wakati huo yuko CCM. Nikampinga sana aliposema tumchague Magufuli kwa hoja madhubuti mwisho wa siku nikaambulia block huko instagram

Evarist Chahali

Huyu naye kipindi cha kampeni mwaka 2015 alikuwa upande wa JPM baada ya kupingana naye kwa hoja mujarabu nikaambulia block huko twitter.

Lemutuzsuperbrand le kibamias

Huyu naye kama mange tu kipindi cha Kampeni mwaka 2015 nilimpinga sana kwenye kampeni yake ya kumsapoti Magufuli huko Instagram nikaambulia block.

Zitto Kabwe

Baada ya kumuita Tundu Lissu zwazwa kwa kuwaomba wafadhili wasitishe misaada kwa Tanzania. Baada ya kumpinga kwa hoja madhubuti nikijaribu kumkumbusha kuwa kushabikia misaada ya wazungu siyo uzalendo. Niliambulia block twitter.

Baadaye baada ya Mange Kimambi kubadilika na kuanza kusapoti mabadiliko nilimtafuta private akaniondolea block. Hivi sasa nimebaki na hizo block nne za akina Malisa, Zitto, Lemutuz na Evarist Chahali. Sioni haja ya kuongea nao kuomba waondoe block kwa sababu nawafahamu ni watu wasio na msimamo sana na sioni kama nina cha kupoteza kutoka kwao kwani wamekuwa mufilisi hakuna aliye relevant kwangu.

Sasa baada ya kujitafakari sana nimeshindwa kuelewa sababu hasa ya kula block je ni Mimi nakosea Ku comment na kuwapinga? Je natakiwa kukubaliana na kila wanachopost? Ili kuepusha block zaidi nimeamua kuacha kucomment kwenye page za mastaa hasa pale wanapoweka post nisiyoipenda maana la sivyo nshisi hakuna staa aliyetayari kukosolewa na kupingwa.
Nwasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini ulimtafuta Mange privately akutoe kwenye block list?

Unaonekana km mwanadamu asiye na vitu vya kufanya, sasa cha kufanya amsha hizo bloku

Watu walioni block mpaka sasa ni hawa.
Mange Kimambi, Ommy Dimpoz na Beka .
 
Back
Top Bottom