Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Wana jamvi kwanza nawapongeza kwa kumaliza vizuri mwezi wa ramadhani.Lakini kwa baadhi yatu sisi Walimu sikukuu hii imekuwa si ya furaha kwani mpaka sasa hivi hatujapata mishahara yetu, wakati wenzetu wamepata tangu tarehe 25. Kwa kweli tumesikitika sana ukizingatia tunaishi mazingira magumu sana huku vijijini ambako serikali imejenga shule za Kata. Huku hatuna maji, umeme, hata net work ya kutuwezesha kuwasiliana na ndugu zetu haipo .Tukiwauliza watendaji wa halmashari nao wanasema hawajui kilichotokea hatuna mtu wa kutusaidia. Serikali kuu iko mbali sana na sisi.Tunapenda sana kuitumikia serikali lakini hii imetukatisha tamaa kabisa.
Ulivyoandika ni kama vile HUJAPATA KAZI lakini nakukumbusha tu MKUU WEWE NI MWALIMU. Rejea uzi wako wa 2014 hapa chini na nimeweka red kwenye maeneo muhimu

Nilipomaliza kidato cha nne nikajaribu maisha yakawa magumu nikaona bora nirudi shule labda hali ingebadilika hivyo nikajiunga na high school baada ya kumaliza nikarudi kitaa kutafuta maisha yakawa magumu tena
Nikaamua kwenda chuo kikuu nikasoma nikamaliza shahada ya kwanza lakini bado maisha ni magumu sana.
Juzi niliamua kurudi chuo kikuu ,lakini sina uhakika kama elimu itanisaidia kumaliza huu ugumu wa maisha ,labda nikomae tu kitaa nifute pesa.Elimu ya bongo inatesa sana lakini haitukomboi kwenywe umaskini.
Ndugu yangu usiwe na wasiwasi soon tu utavushwa,au kama sivyo ipo safari ya matumaini,tumaini jipya n.k kuwa na subira punde tu
Mkuu wa kutunza kumbukumbu umemueza huyu bwana...na mitini kaingia
Ndio hivyo, hawezi kurudi tena
hata mimi nna mawazo kama yako... Mi nimesoma udsm Enzi ile nikienda kitaa nikiulizwa unasoma wap nlikua nasema chuo kikuupamoja ya kuwa tafsiri ya University ni chuo kikuu ila kwangu mtu akitaja chuo kikuu nawaza UDSM tu sijui ni kwanini
Ulivyoandika ni kama vile HUJAPATA KAZI lakini nakukumbusha tu MKUU WEWE NI MWALIMU. Rejea uzi wako wa 2014 hapa chini na nimeweka red kwenye maeneo muhimu
pamoja ya kuwa tafsiri ya University ni chuo kikuu ila kwangu mtu akitaja chuo kikuu nawaza UDSM tu sijui ni kwanini