Nimechoka kusoma siredis, nimeamua kuja na mimi. Hodiii wakuuu

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Posts
914
Reaction score
566
nimekuwa nikifuatilia maongezi hadi nimeona kuna kitu najiidhurumu. Nimeamua na mimi kuja humu.

naomba ukaribisho.

Nimejikuta nimeanza na wanandugu wa MMU maana siasa ninaweza kutolewa speed maana jamaa wako bize na rais mupya hawataki mashara kabisa.

hodi hodi hodi
 
Karibu sana ila chunga kiswahili chako na style yako ya uandishi... Hakuna kitu kinaitwa siredi... Kuna thread au uzi kwa kiswahili...
Hakuna neno najiidhurumu... Kuna neno najidhulumu.. Kuwa makini na matumizi ya "L" na "R" vinginevyo kuna mwalimu anaiywa FaizaFoxy humu ndani...
 
Last edited by a moderator:

athante kwa muongozo mkuu. huyo mama (kama kweli) nampata huwa namfuatilia, ila anatatizo dogo tu la kushabikia vitu kwa mrengo wa kiimani na sio uhalisia.
 
Kuingia tu ushaanza kuja na mambo kama jina lako la pili kwenye ID yako mpya.

Kwa wasioelewa maana ya "manure" kwa Kiswahili, maana yake ni mavi.

Mtajaza wenyewe.
 
Uko sahihi mama (kama kweli) ni mawazo yako siwezi ongeza neno.
Ila ungeomba kujuzwa maana ya hilo jina pia ingekuwa safi zaidi. Lakini kwa kuwa unaelewa kila kitu sina tatizo.

Ila kweli mimi ni mgeni ila kabla ya hapo nimekuwa mfuatiliaji wakaribu sana hata wewe huwa nasoma comments zako. Unaakili Sana na ni mtu unaesimamia unachokiamini japokuwa wakati mwingine huwa unaforce machafuko makusudi kama hiki unachomfanyia mgeni wako mimi sebuleni.
 
Back
Top Bottom