CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
nimekuwa nikifuatilia maongezi hadi nimeona kuna kitu najiidhurumu. Nimeamua na mimi kuja humu.
naomba ukaribisho.
Nimejikuta nimeanza na wanandugu wa MMU maana siasa ninaweza kutolewa speed maana jamaa wako bize na rais mupya hawataki mashara kabisa.
hodi hodi hodi
karibu mgeni JF
Karibu sana ila chunga kiswahili chako na style yako ya uandishi... Hakuna kitu kinaitwa siredi... Kuna thread au uzi kwa kiswahili...
Hakuna neno najiidhurumu... Kuna neno najidhulumu.. Kuwa makini na matumizi ya "L" na "R" vinginevyo kuna mwalimu anaiywa FaizaFoxy humu ndani...
athante kwa muongozo mkuu. huyo mama (kama kweli) nampata huwa namfuatilia, ila anatatizo dogo tu la kushabikia vitu kwa mrengo wa kiimani na sio uhalisia.
Kuingia tu ushaanza kuja na mambo kama jina lako la pili kwenye ID yako mpya.
Kwa wasioelewa maana ya "manure" kwa Kiswahili, maana yake ni mavi.
Mtajaza wenyewe.