Nimechoka kusubiri

Nimechoka kusubiri

Joined
Aug 22, 2013
Posts
66
Reaction score
66
Inaumiza sana kuona wenzako washapata chuo wewe unasubiri
Udsm nimekosa
Udom nimekosa
St john hawajatoa majina
schlrshp mpaka tcu watoe daah....
nimechoka
 
Mbona unachoka mapema sana? Atafutae hachoki, akichoka keshapata. Bado ukimaliza chuo unaweza kujikuta una miaka 3 ya kungoja ajira. Jipange baba.
 
Vigezo na masharti huzingatiwa, je hili nalo ulilipa uzito au ulikua unachagua tu kama mchele kwenye ungo?
 
Vigezo na mashart nilizingatia matokeo yangu cmabaya nna two

kumbe tupo wengi, mimi mwenyewe na13 lakini udsm, udom, jordan, makumira wamenitema, yaani silioni jina langu, wakati kuna watu wana 14 wapo udsm, kuna watu wana 15 wapo udom, jordan na makumira. Yaani hapa bado st.john ndo nasubiri sijui watatoa lini?
 
nimegundua kuwa watu wachache ndo waliomba st.john, ivyo kama ulijaza st.john jiandae kwenda hapo.
 
alafu kitu kingine nasikia st.john majengo yake hadi taaluma haijatulia, habari hizi zina ukweli wowote?. Mi nilijaza bila kukifahamu vizuri chuo hiki.
 
alafu kitu kingine nasikia st.john majengo yake hadi taaluma haijatulia, habari hizi zina ukweli wowote?. Mi nilijaza bila kukifahamu vizuri chuo hiki.

majengo n taaluma imetulia.xema st.johns n msuli mwnzo mwsho.muda wa kupumzike n mdg xana.na unaweza kudisco ata hle semister ya mwsho.wapo strictly xana.they dnt care....
 
Ndg ili uende pale f6 unatakiwa uwe na pass zp walau. Kat ya c,d,na e? Kuna jamaa kaniambia flat E hawaend ni kweli?
 
majengo n taaluma imetulia.xema st.johns n msuli mwnzo mwsho.muda wa kupumzike n mdg xana.na unaweza kudisco ata hle semister ya mwsho.wapo strictly xana.they dnt care....

wewe ndo umenipa mwanga coz kila mtu anakitolea maneno mabaya!!! big up xanaaaaa
 
Back
Top Bottom