Hahaa mkuu yaani acha tu eti nasikia wanasemaga hivyo.Ha aha h hah pole sana,mie pia nimewahi kusikia kuwa mashemeji hawapendi kabisa mwanaume mwenye kifua ambacho kipo flat kama ubao,naona wa kwako pia ameamua kuondoa ukimya,pole sana mkuu!
Kwa utashi wangu mkuu.Tumeumbwa tofauti na kila mmoja amepewa maumbile yake......
Ukiishi kwa kutaka kuwafurahisha wanadamu automatically unakuwa mtumwa wa fikra zao....
Mwanadamu hajawahi kuridhika wala kutosheka tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu!!!...
Kila nati imeundwa mahususi wa ajili ya bolt yake!!!!
Ukiona mpenzi wako analalamikia sana maumbile yako ya kimwili basi ujue upo naye kimwili lakini sio kifikra!!!
NB
Kama umeamua hivyo kwa utashi wako sio mbaya
Kwanini alikfata ilhali hapendi wembamba!,,,kama ni maamzi yako binafsi sawa ila isiwe kwa sabab ya kfrahisha wengineHahaa mkuu yaani acha tu ukiambiwa hivyo unakuwa kama kuku umenyeshewa mvua
Mkuu hii diet inazidi kipato changu.Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita
Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii
Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii
Usipende kutembea sana mwendo mrefu.
Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Basi kama una kipato cha wasiwasi hauwezi kunenepa,ukipata fedha utanenepa automatically.Mkuu hii diet inazidi kipato changu.
Dah pole bro... Mimi nilikuwa mnene ata zaid yako.. Lakini nilipambana kuwa na mwili flat kama Eric Omondi and jah bless kwasasa nipo mwembamba na binaenjoy wembamba.. Nachukia unene pia unene ulifanya [HASHTAG]#Dick[/HASHTAG] yangu kuwa ndogo.. Now naenjoi vyote wembamba and heavy Dick.. Baki ivyoivyo nduguHabari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.
Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.
Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?
Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
mi nimetoka huko sahivi modo.Serious.