Nimechoka kuwa single nataka kuingia kwenye mapenzi

Nimechoka kuwa single nataka kuingia kwenye mapenzi

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569
Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.

Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama kweli mwanaume una akili timamu lazima akuvute...Safari hii nachagua mwenye kakipato kadogo mi sina pesa za kutoa bana.

Nimemisi night romanti chats

1620889781901.png

 
Tupeane connection ukisha mdaka huyo. Itakuwa kuna wengine tena.
 
Hongera kwa kuuaga u single. Inaonekana u muungwana maana muungwana ni vitendo nawe umedhihirisha hilo kwa kutuaga wanachama wenzio!
 
Mkuu kumbuka soko ni gumu sana na haliko real so kua makini..

Tunasubiri mrejesho...
 
Ngoja nikuwahi faster.
Unadhani ni wewe pekee unatetaka kula mzigo.
Wewe utafika na style ya I love you Mimi nakuja na style ya kumtangazia mpaka tarehe ya hharusi yetu.
 
Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.


Usichezee bahati ya kuwa single wengine tunalilia kila siku sema haiwezekani
 
"Ukiwa singo, utaona kama watu wengi sana walio kwenye mahusiano wana enjoy. Ukiingia kwenye mahusiano, utaona kama watu wengi sana walio singo wanaenjoy"
Ishu ni kufurahia kila hatua ya maisha mkuu, ukiwa single be happy and enjoy same as ukiwa kwenye mahusiano. That's the principle. Wanaopata shida ni wale wanaoingia kwenye mahusiano kutafuta furaha. Kama huwezi enjoy ukiwa single ni nadra kuwa na furaha kwenye mahusiano.
 
Back
Top Bottom