Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Ishu ni kufurahia kila hatua ya maisha mkuu, ukiwa single be happy and enjoy same as ukiwa kwenye mahusiano. That's the principle. Wanaopata shida ni wale wanaoingia kwenye mahusiano kutafuta furaha. Kama huwezi enjoy ukiwa single ni nadra kuwa na furaha kwenye mahusiano."Ukiwa singo, utaona kama watu wengi sana walio kwenye mahusiano wana enjoy. Ukiingia kwenye mahusiano, utaona kama watu wengi sana walio singo wanaenjoy"
Alisema amemiss night chats, nadhani ndiyo wanaendelea kuchat😀Oya jamaa mbona kimya, au ndo mapenzi yamenoga
😀list yako inaonekana ndefu sanaaIngia tu, watu sijui wanawezaje kuwa single mi siwezi....
Ndio, kuna tatizo?😀list yako inaonekana ndefu sanaa
Yeah hakuna namna nikaongezeka kwa list?Ndio, kuna tatizo?
Dirisha la usajiri lishafungwa, subiri msimu ujaoyeah hakuna namna nikaongezeka kwa list??
Likifunguliwa utanitag. Ngoja nikutumie CV yangu😀Dirisha la usajiri lishafungwa, subiri msimu ujao