Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani unataka nikutag? Nitatag wangapi, unadhani upo peke ako? Utakua unaulizia na kufatilia updates zangu katika mitandao ya kijamii....all the bestLikifunguliwa utanitag.. Ngoja nikutumie CV yangu😀
Kiruuuu.Yani unataka nikutag? Nitatag wangapi, unadhani upo peke ako? Utakua unaulizia na kufatilia updates zangu katika mitandao ya kijamii....all the best
Umeshapata sasaNimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Vip bado hujampata.Umeshapata sasa
INGIA TUU KAMA NI MLANGO HUONimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
We TAFUTA HELA UONE ni DEMU gani atakukataaaa..Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama kweli
Tafuta hela wewe wanawake huwa hawatafutwiMe pia nimechoka kuwa single,ila sipati KE wa kuwa naye
Hela ninazo mkuu,hata hapa ninazo naziangalia zingine zipo bankTafuta hela wewe wanawake huwa hawatafutwi
Ungekuwa unazo hela usingetafuta mwanamke,huwa wananasa wenyewe automaticHela ninazo mkuu,hata hapa ninazo naziangalia zingine zipo bank
Dhana potofuUngekuwa unazo hela usingetafuta mwanamke,huwa wananasa wenyewe automatic
Kama hujui hili wewe hujawahi kushika hela.Dhana potofu