Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,358
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
 
jamani mwalimu hao nao watanganyika wanahitaji huduma yako
 
Vumilia utazowea... Kila sehemu ina changamoto zake
 
komaa ndg maisha popote jana ulifurahia posho ya kujikimu week nzima
 
Kumbe we Mwl. Ndo maana comments zako zinakuwaga za kistaarabu na staha. Pambana Maisha popote. Hizo ni siku za mwanzo tu ila ukishazoea utakuwa unajichanganya na wanakijiji vijiweni.
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Kama kweli ualimu ni kipaji chako kamwe huwezi ona hizi changamoto!!
 
Kumbe we Mwl. Ndo maana comments zako zinakuwaga za kistaarabu na staha. Pambana Maisha popote. Hizo ni siku za mwanzo tu ila ukishazoea utakuwa unajichanganya na wanakijiji vijiweni.

asante mwaya liticha miye dah yani hao wanakijiji wenyewe hata siwaoni naona wabibi tu ha ha nacheka kwa hasira hapa!
 
Back
Top Bottom