Vumilia utazowea... Kila sehemu ina changamoto zakeDaaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
khaaa watahudumiwa na mwingine haya mazingira mmmh wallah hapana !!
mmmmh naona kama huku kumezidi vilee yani huko nje giza naogopa hata kutoka mmmh!
dah ngoja nifungue uniliwaze best yangu loh !!
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
Kumbe we Mwl. Ndo maana comments zako zinakuwaga za kistaarabu na staha. Pambana Maisha popote. Hizo ni siku za mwanzo tu ila ukishazoea utakuwa unajichanganya na wanakijiji vijiweni.
Lakini 3g si unaipata?
khaaa watahudumiwa na mwingine haya mazingira mmmh wallah hapana !!