Kama hata salamu hakupi basi mna tatizo zaidi ya mawasiliano ya simu.
Sijatumia mbege hapa nipo ofisini.alafu wew unarahisisha tuu.ungekuwa ni wew ungejifil vibaya sifikirii starehe.kwa hiyo mume kuamka nakumpigia simu mkew kujua kaamkaje ni starehe?
Any way am gona tired
Davina inawezekana there is more to this than maelezo ulotoa.... Wanadamu watofautiana saana kitabia, na moja ya hio tabia ni kuonesha ni kwa kiwango gani ajali kuhusu familia. Sio wanaume woote wapo that caring kwa familia zao, but haina maana kua hawana Mapenzi na familia zao (iwe mke ama watoto). Mwenyewe usha kiri kua hayupo caring kwa familia toka kipindi.... kwa maneno mengine ni hio kuzima simu na kutojali ni kawaida yake....
However kuna maswali ya msingi ya kuuliza hapa maana wanawake twatofautiana ku define caring..... Unaposema hayupo caring ni sababu tu akutafuti kwenye simu ama sababu hatimizi pia responsibilities zake ndani ya familia? Angalia tabia yake kwa mambo mengine (nje ya the so called caring) katika ndoa yenu ipo vipi.. Na zingatia pia kua kuishi wanadamu pamoja ni kazi saana hivo wanandoa kuna wakati hua wanapita unaitwa "Rut stage" yaani mnakua mmechokana mpaka baaas! to the extent msipoangalia mwaweza vunja ndoa kizembe kabisa. Nakushauri kua hilo wazo umeamua liangalie/tafakari kwa undani before moving forward.... Nakutakia kila la kheri katika kutatua tatizo lako....
Kujali I mean anajali familia kwa mahitaji yoote lakini kimawasiliano ndo anakiwa mgumu
Kujali I mean anajali familia kwa mahitaji yoote lakini kimawasiliano ndo anakiwa mgumu
Kama unatambua kwamba uwezo wa kufanya hili na lile kwa wakati mmoja hanao basi ni vizuri ukalikubali hilo na kujikita kwenye kumsaidia zaidi badala ya kulalamika. Watu wengine hivyo ndivyo walivyo. . . hata wakitaka wenyewe bado sio rahisi wao kubadilika kwasababu ubongo unahusika sana.Huyu mtu ana matatizo lizzy yani akiwa na kazi anaweza kuchanganyikiwa kabisa sas ntambadilishaje aondokane na hii hali nahis hana uwezo wa kumanage mambo mengi kwa wakat mmoja
Kujali I mean anajali familia kwa mahitaji yoote lakini kimawasiliano ndo anakiwa mgumu
Davina dear, mumeo ndivyo alivyo; ukianza kuassume vitu utaviona hata kama havipo. Inaonekana una freetime ya kuzidi kiasi kwamba unatumia muda mwingi kufikiria mumeo atakuwa anafanya nini na nani.
Ushauri wangu, tafuta kitu cha kuoccupy muda wako ili atleast nawe uwe busy japo
Huwezi kumbadilisha; so stop trying. Ukiamua kumua cha na waweza kumpata anayeongea na wewe while yuko kwenye kifua cha mwanamke mwingine n trust me wa hivyo ni wengi (I am speaking from experience ya kuwa na mume wa mtu, na kuibiwa vil
Thanks kwaushaur mzuri mine
Pole lakini wahitaji kutulia na kisha ujaribu kumsoma mwenzi wako na pia maamuzi yako yasiwe ya papara kwani waweza ambulia pabaya. Sikuombei mabaya Davina. Pia hebu eleza anapokuwepo home hali yenu kimapenzi iko vipi?Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah
Pole lakini wahitaji kutulia na kisha ujaribu kumsoma mwenzi wako na pia maamuzi yako yasiwe ya papara kwani waweza ambulia pabaya. Sikuombei mabaya Davina. Pia hebu eleza anapokuwepo home hali yenu kimapenzi iko vipi?
Dah..hapa kapatikaba npigia ile anapokea tuu.kaanza kuna kitu kinanchanganya h hivi ile laptop uliyonitumia uliweka kebo ya umeme mbona kama siioni..cjamjibu nkakata cm kapiga sipokei nahisi me nakuwa mtumwa ukizingatia midume kibao yanimendea hyu namheshimu lakn ataka kunipa presha dah