Nafikiria kuanzisha clinic au hospitali. Ila sina pesa , nafikiria kuanzisha vijicenters vidogo vya kupika na kuuza mihogo hii ya kukaanga na chachandu ili kuongeza kipato cha kila siku baadae kufanya biashara kubwa !!!! . zitakazo nipa faida na kuanzisha hospitali .
Sasa wanajamiii je kwa hiyo biasha ndogo nitaweza kupata faida itakayoongeza mtaji wakufanya biashara zingine!!!.
Naona wanaopika maisha yao ni Yale yale sijui Mimi nitatoka kweli hii biashara ????
Naombeni mnitie moyo na kunipa mawazo mengine ya kufanya nikuze mtaji na kufikia malengo yangu!!!!