Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka.... kisa UMRI.
CANCELING PLEASE
\Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka nimeingia kwenye mahusiano wa kwanza tulikua miaka sawa ila tukashindwana wa pili kanizidi miaka miwili alafu tukazinguana sasa niko SINGO ila naogopa kuingia kwenye mahusiano tena kisa UMRI.
CANCELING PLEASE
Pole sana kijana. Kwanza fanyia uhariri hilo neno "canceling" nadhani ulimaanisha "counselling".
Pili, sidhani kama uko serious na mahusiano, nahisi unajiingiza kwa ajili ya shinikizo, kuiga aumazingira tu. Nakushauri uachane kabisa na masuala hayo hadi pale utakapokuwa serious kwa mahusiano ya kudumu, yaani NDOA.
\
Counseling=CANCELING?, Uwezekano: wewe ni mdogo lakini umekosa lishe utotoni hivyo sura yako inaonekan kama mtu mzima ndiyo maana wanawake wakubwa wanakukubali, Ni vigumu kurekebisha hiyo hali ya kilishe kwa sasa. Ploe sana.
hau ol ayu nao??