nimechoka na mpango wa shuka tukaze nifanyeje?

nimechoka na mpango wa shuka tukaze nifanyeje?

Uda

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
811
Reaction score
623
mwandani wangu amenunua kitanda hivi karibuni,tatizo lake wakati wa "shughuli" inatubidi kukatiza mara kwa mara kufanya marekebisho(kukikaza tusije anguka).nikimwambia anunue kingine naona anapotezea na kutoa alternative ya kulala chini.nikimwambia amuite fundi afanye marekebisho anasema amesahau,sijui mwezangu huyu anafurahia zaidi tukiwa chini?
naomba ushauri wenu wana JFnifanyeje.
 
Mmmh sasa si ununue ww kwani hata ununuzi wa kitanda unaomba ushauri hapa
 
Kama fedha za kununulia kitanda huna,vumilia tu.huyo jamaa yako ni mwarabu nini?nshawai kusikia warabu huwa hawapendi vitanda
 
kwani lazima mfanyie kitandani!!!!
 
Shusha Gidoro shini, weka bembeni yule mtanda napigya klelee.....jirani habana sikia wewe nalia tamu OK ?
 
hahahahahah..hii kali,kama kweli uko siriazz duh basi balaa...pole
 
Back
Top Bottom