Nimechoka, natafuta mume serious

Nimechoka, natafuta mume serious

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
 
Hapo kwenye "awe mtumishi wa umma" umejiwekea wigo mdogo wa wanaume bora bila sababu ya msingi. Watumishi wa umma kwenye hii nchi ni 0.6% ya raia wote wa nchi hii.

Pia nakushauri unapovunja mahusiano, jipe muda wa kutulia na kutafakari kabla ya kuanzisha mahusiano mengine. Hakuna haja ya kata mti panda mti, utachukia mahusiano bure
 
Mm najitambua, pesa najua kuitafuta ila kutumia nipo budgetically, sijaoa na wala sina mtoto na ni mchamungu pia.

Eeh Mungu nisaidie.......🤲
 
Dada mimi nikamwambie jambo tu!! Kudeclear kuwa wewe ni mkristo, hakuzuii watu wabaya kuja, kumbuka tunamwabudu Mungu katika roho, na mimi Dada angu nikwambie tunda la roho ni uvumilivu, sasa kama mtu si wa nuru, na akaamua ku pretend kuwa ni wa Nuru(Yesu) basi mpe mda tu,usiwe na haraka , mwambie Mungu, naye atamvua nguo bila hata wewe kuhangaika, kumbuka tunaambiwa tuishi katika roho na sio mwili, acha kuwahukumu (uzuri/ubaya) kwa kuangalia kwa macho ya kibanadamu, angalia ni wapi , una mapungufu, Shetani hutumia mlango huo huo kutaka kukuangamiza kukuletea watu fake kwenye maisha yako, simama imara, usijitambulishe ucha Mungu wako,
Mfano hapa sasa umepost huoni kuwa utaletewa jiwe,ugeuze liwe mkate,
Anyway pole sana
Naomba tuwasiliane +255659325453
 
Yaani unatudisi halafu unataka tukuoe kweli?

Dah na nineshakata tamaa ya kuja Piemu.
 
Achana na mapenzi komaa kutafuta kazi dada.

Screenshot_20211114-101340.jpg
 
Kwa maelezo yako tuliza kichwa na jipe mda wa kufanya kazi zako akili itulie,kuhusu suala la kuweka terms za kua ni lazima upate mtumishi meanz kwamba pengine unataka upate mtu ambaye yuko stable financially ili ganda la ndizi lihusike,why usipate mwenye hali ngumu mtoke wote from zero to hero?
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Sawa ila unatafuta mume, au unaelezea historia ya mapenzi ya nyuma??

Ungejikita kwenye mada ya mume tu, hayo mengine ungemueleza huyo mume wako mpya..

Karibu DM tuyajenge ikiwa utojali..
 
Baada ya kupimana na huyo wa pili akagundua unafosi kuolewa akasepa sio?

Tatizo unajiona perfect halafu unapenda kufosi mambo. Mwanaume akitaka kukuoa atafanya hivyo tu wala usitumie nguvu kumfosi😅! Its the energy within us...

You are still young kukimbilia ndoa. Get a life atleast ukaribie 30”s...Mwanaume anayejitambua hawezi kuinvest kwa 23 year old girl!
 
Kwa maelezo yako tuliza kichwa na jipe mda wa kufanya kazi zako akili itulie,kuhusu suala la kuweka terms za kua ni lazima upate mtumishi meanz kwamba pengine unataka upate mtu ambaye yuko stable financially ili ganda la ndizi lihusike,why usipate mwenye hali ngumu mtoke wote from zero to hero?
Kwa hili bandiko ni wazi mama mtu wa kufosi kingi! Hana ramani anataka ainvest kwenye kumpush mwanaume kwa return ya ndoa!😅😅😅 hata mi naona atafte kazi tu mume atakuja mwenyewe
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Tuanze na ww ? Je kweli upo sirious ? Kwa barua uliotuandikia hapa. Au utanataka ufahamike ?
 
Back
Top Bottom