Tangu upate 7,800 haijapita hata miezi 2. Wewe muongoMiez 4 sijaona
Hata mwenyewe sijui eti..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani nimemshika wapi mimi
Itabidi uione yanguMiez 4 sijaona
Kwanini usochoke naali ushakabidhiwa matunguliNimejikuta nachoka,nachoka,nachoka nachoka kila sehemu
Unafikiri nini kimenichosha?
Uzi unawahusu under 25
Shieeee Tabalai..!!Acha dharau chaliangu kwani wamaasai tumekukosea nini?Muwemnajitafakari kwanza kabla ya kungegedana na wamasai[emoji38]