GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nikitongoza wadada wazuri na warembo kwa nguvu zangu zote hawanitaki lakini nina utitiri kama si nyota ya kupendwa na hata kutokewa (kupendwa) na wanawake wenye sura mbaya? Nimemkosea nini labda mwenyezi mungu?
Naombeni msaada jamani kwani hii kitu inaniumiza sana na nakosa amani na hata hivi ninavyoandika huu uzi kuna demu ananipigia lakini nikikumbuka tu sura yake natamani hata niivunjilie mbali simu japo pia naogopa nikiivunja hii simu nayo sina mtonyo wa kununua nyingine.
Kwani nyie wanaume wenzangu mnaotongoza mademu wazuri na warembo mnatumiaga nini labda cha ziada? Nipeni maujanja jamani kwani mwenzenu gentamycine nateseka moyo.