GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndo mama watanzania Ni maskini Sana, akili yako ndogo sana
Akamtongoze mamaye
Yaani hii nayo ni issue ya kujadili hapa? Wewe unatongoza wanawake au unatongoza sura?
Nenda kafanyiwe maombi!
yaan hapo ni sawa ungesema ivi: "nitafanyaje ili nipate ukimwi?"au "nifanyaje ili nikifa niende motoni??" maana ndcho unachotafuta
njoo nakuambia!!
Pole sana mkuuUngekuwa Na Akili Usingempoteza Muda Na Issue Isiyofaa Kujadiliwa Hapa Na Badala Yake Ndiyo Unanihakikishia Jinsi Ulivyo Bonge La POPOMA.