"Nimechoka" Sijawahi kuyafurahia mahusiano ya siri

Tafuta sababu inayokufanya uende huko nje halafu umwambie mkeo akishindwa ndo utafute hiyo altenative maana wanaume wa siku hizi bwana wanafata sana T**** nje sababu hawezi kumwambia mkewe. Hizi nyumba ndogo mie sizipendi mwenzenu basi tu sina jinsi

Nashukuru sana DA wangu huu unaweza kuwa ushauri wa maana ila suala T*** Huwa situmiagi ingawa watuaji siku hizi ni wengi na hata humu jamvini wapo najiuliza hili ni la kwangu mwenyewe au wengine wanapata karaha kama zangu ila wanakausha tu na kutafuta mwanamke mpya.
 
Mmh! Nimekosa cha kukushauri. Ngoja niendelee kufikiria.
 
Mmh! Nimekosa cha kukushauri. Ngoja niendelee kufikiria.

Kanywe maji best. Nasubiri mtu wangu ingawa wanaume wachache sana humu hawako tayari kusema ukweli au ni mimi mzembe tu ndiyo maana nakoma?
 
wamamume twendenii tu n yumba ndogo ila ujue na mkeo ni nyumba ndogo somewhere,..............nina asilimia 70 ktka hili jambo,patamu hapo na huwezi kugundua kama mkeo anafanya mauchafu hayo kama unavyoamini wewe kuwa hajagundua na ukute mke anajua ila anakuchora tu .......lolo inauma hiyo
 
Bila infidelity ulimwengu hauwezi kuzunguka vizuri mwache aendelee na anachokifanya ma ukweli si anapendwa tuu...kumbuka wanawake wote wanataka service na idadi yao ni kubwa kuliko wanaume watapata wapi huduma kama tutazuia unfidelity?

hapo tu ndo huwa nakupendaga mamaa kubwa!!!!
 

Kaka punguza ukali wa maneno maana haa panauma kama nini!
 
Mh hakuna mshauri hapa.

Unamaanisha nini maana wengi wanachosema ni kulingana na uzoefu na mazingira tunayoishi ingawa ki ukweli hili siyo zuri au jambo la kujisifia madhara ni makubwa kuliko faida
 
Sasa kama huyafurahii unayaendeleza ya nini?
 
Mh hakuna mshauri hapa.

sasa huyo ni shemeji yangu ambaye ndie mshauri wangu....bila yeye ndoa yangu ingeyumba sana....nazidi kukushukuru shemeji Fidel kwa kuniokolea na kuninyoroshea ndoa yangu
 
Nyumba ndogo ni tamu kwasababu kila mmoja anafanya bidii apate anachokitaka.
Man unataka ngono, lady anataka mshiko.
Wanaume tulieni, hizo nyumba ndogo zina kubwa zake.
Hivi unajua sababu ya nyumba ndogo nyingi kutokuwa wivu?
 

Ridhika na ulichonacho na pili uwe na shukrani hebu ona hapa

Derimto
JF Senior Expert Member

Join Date
Thu Nov 2010
Posts
296
Thanks
0

Thanked 72 Times in 46 PostsRep Power
 
Mama Big umenifanya nicheke mwisho eti dunia haitazunguka...
 

Mkuu nimedo de nidful.
 
je kwenye hao nyumba ndogo zako wapo ambao ni wake za watu?
kama jibu ni ndio basi uje inawezekana hata huyo wa maukweli ni nyumba ndogo kwa
njemba nyingine. kama huna mke wa mtu ambaye ni nyumba ndogo yako bado
hujapona kwani wa maukweli anaweza akawa anakuchora na analipizia kimyakimya
kwa kuwa nyumba ndogo sehemusehemu.

ushauri: fanya kile roho inapenda sio kwa sababu hujashtukiwa. roho ikikataa
basi achana na masuala ya nyumba ndogo, roho ikipenda wee jimwage tuu ila
chunga usalama kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…