Nimechoka Upweke...

Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.

David Ben Gurion

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
868
Reaction score
1,384
Umri: 40
Elimu: Diploma
Uzito : 84kg
Urefu: 1.7m
Kazi: Sina
Hela: Sina
Nyumba: Sina
Watoto: Watatu Ke1, Me2
Mke: Sina
Ujuzi: Umeme, useremala, na ufundi vyuma.
Madeni: Milion 2.4

Mengineyo:
Situmii pombe, sigara Wala bangi... Nilishawahi Kutumia Miaka 18 iliyopita. Napenda kujishughulisha kazi za mikono za ujuzi... Kujisomea vitabu... Nina ndoto kubwa Sana Lakini sijaweza kuzitekeleza... Ukija tutasaidiana jinsi ya kuanza na Kufanikisha ndoto zetu.
Kuhusu Mapenzi Nina wivu Sana sipendi umalaya.. Mwanamke nayemuhitaji awe Mjane au aliyezaa angalau watoto wawili..Apende kujishughulisha.. Umri wake aanzie 32-43 awe mwembamba asiwe mnene tafadhali... Dini Awe Mkristo.. Mengine tutakamilishana
Ukipendezwa nami karibu PM au gddtechnicians@gmail.com. Blessed
 
Dah mkuu Mungu akuongoze,but kwanini usikamate mmoja wa mama za hao wanao ukasonga naye?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuwa na familia yenye Hofu ya Mungu, amani, Baraka na furaha tele kwa Miaka nane Mkuu, Usingeamini kama ningefika Huku... Only God knows shetan alichofanya..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom