Nimechoma ceftrisone na nimekunywa azuma asubuhi je naweza kuvuta weed saa hizi

Nimechoma ceftrisone na nimekunywa azuma asubuhi je naweza kuvuta weed saa hizi

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
Habar zenu wataalam.

Naomba mnisaidie ushauei km kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nawasilisha
 
Kama upo California sawa.
Huku manjagu watakudakua.
 
Je haina madhara nikivuta hiyo kitu,ninayo mkononi ujue kuwa serious bro.
 
Umekuja kuomba ushauri wa kuvuta bangi mkuu..?!
 
Ukivuta tu homa inajirudia tena kama unabisha njoo uniulize mimi.
 
Gonga msuba wako kwa raha zako. Hakuna madhara.
Ila pombe ndo noma. Itabidi uanze upya dozi. Kaswende ni noma
 
Mkushi unachoma sindano? Ukipiga huo msuba unapona wakati mwingine usichome sindano.
 
Back
Top Bottom