Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Salamu wapendwa,
Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya kuchomwa na msumari mguuni. Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia.
So nitumie dawa gani wapendwa ili ndani ya siku tatu niweze kutembea na donda liwe limekauka?
Nifanyaje?
Ahsante