Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
nenda hospitali haraka acha kudekA HAPA EBOSalamu wapendwa..
Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya Kuchomwa na msumali mguuni...
Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia[emoji22] [emoji30] [emoji22] [emoji22]
So nitumie dawagani wapendwa ili ndani ya siku tatu niweze kutembea na donda liwe limekauka....?
Nifanyaje?¿????
Ahsante
Salamu wapendwa,
Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya kuchomwa na msumari mguuni. Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia.
So nitumie dawa gani wapendwa ili ndani ya siku tatu niweze kutembea na donda liwe limekauka?
Nifanyaje?
Ahsante
Wahi kwanza ukachome sidano ya tetanus zen dawa za kukausha zifatie baadae
Ubungo mkuuNaomba unielekeze unapokaa. Nitakuja kukuchua.
Acha sifa mkuuyaani kamsumali tu unaanzisha thread, huku tunachomwa na mikuki tunakomaa tu.
Ahsante mkuukachome sindano ya tetanus
Sina hela ya kwenda private nasubir kesho niende GovernmentPamwagie mafuta ya taa kidogo, then nenda kachome tetenasi
Siyo sifa nataka uwe jasiri uendelee na kazi hata kwa kuchechemea maana wengi wameshakwambia cha kufanya.Acha sifa mkuu
Nimtumie number kwa inbox nikifika nikuchekiUbungo mkuu
Te Lavista, nimecheka sana kiongozi. Tangu aunzishe thread hukurudi tena kuchukua mrejesho.Sina hela ya kwenda private nasubir kesho niende Government