Nimechomwa sindano...

Nimechomwa sindano...

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Waungwana salamu kwenu!
Hebu niambieni wenye kuyajua haya mambo...leo nimechomwa sindano ya tetenasi ya kwanza,baada ya kuchomwa na msumari mguuni...nimeambiwa nirudi tena kwa ya pili Jan 10. Naombeni kujua,je ndani ya muda huo,kabla ya kuchoma ya pili,naweza kunywa pombe?
Aksanteni sana,karibuni!
 
Haujapewa antibiotics wala dawa zingine zozote? Hebu muombolezee babu bwana, achana na pombe.
 
Back
Top Bottom