Haujapewa antibiotics wala dawa zingine zozote? Hebu muombolezee babu bwana, achana na pombe.
Nimepewa,amoksilini...
Kunywa tu mwaya, hakuna effect yoyote..... kwa raha zako
Naona ulimuua huyu member. Hajarudi tena. Yaani amoksilin anashushia na lager!