Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Jan 27, 2012 #41 Pia jitahidi kufanya mazoezi mepesi,kunywa maji mengi na kuweka mwili katika hali ya usafi kwani yawezekana mfumo wa utoaji taka mwili una shida kwa hiyo ukifanya mambo haya inaweza kusaidia
Pia jitahidi kufanya mazoezi mepesi,kunywa maji mengi na kuweka mwili katika hali ya usafi kwani yawezekana mfumo wa utoaji taka mwili una shida kwa hiyo ukifanya mambo haya inaweza kusaidia